Machapisho mapya

Ya hivi karibuni..

Yesu kuvishwa taji la miiba kichwani, kulifunua nini?
ByAdmin Mar 18, 2024

Yesu kuvishwa taji la miiba kichwani, kulifunua nini?

SWALI: Yesu kuvishwa taji la miiba kichwani alipokuwa anasulubiwa kulikuwa kuna funua nini rohoni? JIBU: Kila tendo alilotendewa Yesu katika kipindi cha mateso yake lilikuwa lina ufunuo wake rohoni. Tunajua…

tofuati ya “Kutakabari” na “kutakabali
ByAdmin Mar 14, 2024

Ipi tofuati ya “Kutakabari” na “kutakabali”?

Swali: Kuna tofauti gani ya “kutakabari” na “kutakabali”, sawasawa Warumi 1:30 na Mwanzo 4:4-5? Jibu: Tuanze na 1) kutakabari.. Warumi 1:30  “wenye kusingizia, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kutakabari,…

HUFUMBA MACHO YAO WASIONE
ByAdmin Mar 14, 2024

MAANA HUFUMBA MACHO YAO WASIONE!

Karibu tunayatafakari maandiko... 2Petro 3:3 “Mkijua kwanza neno hili ya kwamba katika siku za mwisho watakuja na dhihaka zao watu wenye kudhihaki, wafuatao tamaa zao wenyewe, 4  na kusema, Iko…

dhambi zetu zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.
ByAdmin Mar 14, 2024

Anaposema zijapokuwa nyekundu kama bendera, ana maana gani?

SWALI: Mungu anaposema dhambi zetu zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu. Ana maana gani, kwenye hilo neno bendera? Isaya 1:18 Haya, njoni, tusemezane, asema Bwana. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu…

USIWE MKRISTO WA KUKAA TU GHALANI,
ByAdmin Mar 14, 2024

USIWE MKRISTO WA KUKAA TU GHALANI,

Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno ya uzima ya mwokozi. Watu waliomwamini Yesu Kristo, yaani waliopokea ondoleo la dhambi zao. Hutambulika kama NGANO, lakini watu…

TENDA JAMBO LA ZIADA.
ByAdmin Mar 13, 2024

TENDA JAMBO LA ZIADA.

(Masomo maalumu yahusuyo kazi na uchumi). Tunahitaji kujua kanuni chache ili tuweze kufungua milango yetu ya kiuchumi. Leo tutaangalia kanuni nyingine ambayo mkristo akiitumia basi anaweza kupata kibali mahali pale…

Je! Ungependa kuchangia huduma hii?

"Tutafurahi kama utashirikiana nasi kwa mchango wako, au maombi yako au nguvu zako katika kusambaza jumbe hizi kwa wengine na Mungu atakubariki."

Wingu La Mashahidi Wa Kristo

Waebrania 12:1 "Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,"

Mafundisho

kupitia tovuti hii utapata kujifunza misingi mingi ya Biblia kwa masomo yanayochapishwa humu kila siku. Hivyo usipitwe

je! Una maswali yoyote kuhusu biblia?

Tovuti hii inakupa wigo wa kuuliza maswali, na pia kujifunza kwa kupitia maswali mengi yaliyojibiwa

Shuhuda

Utapata pia kusoma shuhuda mbali mbali zitakazokusaidia kuimarisha imani yako

Download

download video, audio, pdf za masomo mbalimbali