Katika Biblia, Mungu daima aliuleta Ujumbe Wake kwa watu wa ulimwengu kupitia kwa nabii wa kizazi hicho. Yeye alisema na Musa kupitia kichaka kilichowaka moto na akampa agizo la kuwaongoza Waebrania kutoka Misri. Nguzo ya Moto iliyo dhahiri pamoja na ishara zingine zilitolewa kuthibitisha huduma yake. Yohana Mbatizaji alileta Ujumbe kuuandaa ulimwengu kwa ajili ya … Continue reading HISTORIA YA WILLIAM BRANHAM
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed