CHANGIA SASA.

by Admin | 15 August 2018 08:46 am08

KAMA UMEGUSWA KUCHANGIA KAZI HII YA  INJILI ILI IZIDI KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI, BWANA AKUBARIKI SANA KWA MOYO HUO.

HIVYO KAMA UMEGUSWA UNAWEZA UKATUMA MCHANGO WAKO KWA KUPITIA NAMBA ZIFUATAZO.

Kumbuka pia kuandika jina lako na mahali unapotokea, pindi utakapotuma nasi tunakuombea Bwana akubariki kwa baraka zote za rohoni.

NA PIA  MAOMBI YAKO NI YA UMUHIMU SANA KWETU, UNAWEZA UKAITAJA KAZI HII MBELE ZA BWANA KILA UOMBAPO KWAMBA BWANA AIONGEZEE NEEMA YAKE IENDELEE KUWEPO.

NA MWISHO KAMA UNA SWALI LOLOTE KUHUSU MAANDIKO, TUNAKUKARIBISHA UTUTUMIE KUPITIA NAMBA HIZO HAPO JUU! AU BARUA PEPE HAPA CHINI, AU KATIKA BOKSI LA MAONI HAPO CHINI, TUTAKUJIBU KWA WAKATI KWA KADIRI BWANA ATAKAVYOTUPA NEEMA,

baruapepe(email) >> Info@wingulamashahidi.org

Shalom!

DOWNLOAD PDF
WhatsApp

Source URL: https://wingulamashahidi.org/2018/08/15/mawasiliano/