JE! NI LAZIMA WATU WOTE WANENE KWA LUGHA?

Biblia inasema katika.. 1 Wakorintho 14: 5 “Nami nataka ninyi nyote mnene kwa lugha, lakini zaidi sana mpate kuhutubu, maana yeye ahutubuye ni mkuu kuliko yeye anenaye kwa lugha, isipokuwa afasiri, ili kusudi kanisa lipate kujengwa”. Wengi wanausimamia mstari huu kama msingi wa kuwa ni lazima watu wote wanene kwa Lugha kwasababu maandiko haya yanasema hivyo, … Continue reading JE! NI LAZIMA WATU WOTE WANENE KWA LUGHA?