Tofauti kati ya zaka na sadaka ni ipi?
JIBU: ZAKA/FUNGU LA KUMI Ni moja ya kumi au sehemu ya kumi ya mapato yako yote, hicho huwa kinakwenda kwa Bwana na ni wajibu kwa kila mkristo mwenye shughuli ya kujipatia kipato kumtolea MUNGU sehemu hiyo ya mapato yake.. Walawi 27: 30 “Tena zaka yote ya nchi, kama ni mbegu ya nchi, au kama ni … Continue reading Tofauti kati ya zaka na sadaka ni ipi?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed