DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

JIFUNZE KUJITOA KWA MUNGU NA KUWA MKARIBISHAJI.

Shalom, mtu wa Mungu.. karibu tujifunze biblia Neno la Mungu, ambalo ni mwanga wa njia yetu na taa iongozayo miguu yetu. Leo tujikumbushe umuhimu wa kuwa wakaribishaji, na wa kujitoa…

Neno la Mungu ni upanga.

Ni kwa namna gani Neno la Mungu ni upanga? Biblia haisemi Neno la Mungu ni upanga tu, hapana bali inasema  ni zaidi ya upanga wowote mkali ukatao kuwili.. Waebrania 4:12…

Neno la Mungu la leo.

Neno la Mungu la leo ni lipi? Kwanza nakupongeza kwa kupenda kutafuta kujua Neno la Mungu la leo.. Bwana Yesu alisema kila atafutaye huona (Mathayo 7:8), Hivyo kwa kuwa na…

NENO LA MUNGU NI NINI?.

Neno la Mungu ni nini? Neno la Mungu ni ujumbe kutoka kwa Mungu, au mkusanyiko wa jumbe kutoka kwake. Ukisoma katika maandiko utaona mara nyingi manabii walikuwa wanasema maneno haya…

UFUFUO TUNAOUSUBIRIA UTAHITIMISHA YOTE.

Siku ile Bwana Yesu alipokufa biblia inatuambia makaburi yalipasuka na miili ya watakatifu wengi iliinuka, lakini katika ufufuo huo hawakuondoka pale makaburini mpaka siku Yesu alipofufuka, Ndipo wakaanza safari ya…

YESU AKALIA KWA SAUTI KUU.

Yesu akalia kwa sauti kuu.. Wengi tunajiuliza ni maneno gani aliyatoa Bwana Yesu pale msalabani alipolia kwa sauti ya juu namna hiyo? Embu tusome vifungu vyenyewe; Marko 15:34 “Na saa…

Kuzimu kuna nini?

Kuzimu kuna nini? Kuzimu sio mahali pa kupatamani hata kidogo, wala sio mahali ambapo utatamani hata adui yako aingie.. Na ndio maana Bwana Yesu alisema maneno haya.. Marko 9:43  “Na…

Kuota upo na mtu maarufu/kuota unaongea na mtu maarufu.

Kuota upo mtu na maarufu/kuota unaongea na mtu maarufu kuna maana gani? Ndoto zipo katika makundi makuu matatu, zipo ndoto zinazotokana na Mungu, pia zipo ndoto zinazotokana na shetani, halikadhalika…

KUOTA UNAKOJOA KITANDANI.

Kuota unakojoa kitandani kuna maanisha nini? Ndio ni kweli zipo ndoto zinazotokana na Mungu, na ni vizuri kuzifahamu hizo, na pia zipo ndoto zinazotokana na shetani pia hizo ni vizuri…

KUOTA UMEFUNGA NDOA.

Kuota umefunga ndoa  kuna maanisha nini? Ndoto ya namna hii mara nyingi inaangukia katika kundi la ndoto zinazozotokana na shughuli nyingi.. Mhubiri 5:3 “Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya…