DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

SAA YA KIAMA.

Cha kushangaza ni kwamba wakristo tu peke yetu ndio hatujui saa tunayoishi na muda gani mchache tuliobakiwa nao, na hata kama tunajua basi wengi bado hatujachukulia kwa uzito jambo hili…

KUSAMBAA KWA ROHO YA MPINGA-KRISTO.

Cheo cha Mpinga-Kristo, kimeshafunuliwa Zaidi ya Karne moja iliyopita huko nyuma, nacho si kingine Zaidi ya cheo cha ki-PAPA, Wakati wa Mwisho utakapofika atanyanyuka mmoja atakayekikalia hicho kiti, ambaye atafanya…

KUOTA UMEBEBA MTOTO.

Sehemu kubwa ya ndoto tunazoziota mara kwa mara huwa hazitokani na Mungu wala shetani bali zinatokana na sisi wenyewe.. Na hizi huathiriwa aidha na shughuli tunazozifanya kila siku, au mazingira…

Adamu alikuwa na watoto wangapi?

Biblia inasema katika kitabu cha Mwanzo. Mwanzo 4:1 Adamu akamjua Hawa mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Kaini, akasema, Nimepata mtoto mwanamume kwa Bwana. 2 Akaongeza akamzaa ndugu yake, Habili. Habili…

Kuna Malaika wangapi?

Biblia haijataja kuna idadi gani ya Malaika walioko mbinguni...Lakini tukisoma Biblia tunaweza kujua au kupata picha kuwa kuna idadi kubwa kiasi gani ya Malaika walioko mbinguni.. Kama maandiko yanasema katika...…

JE MUSA ALIFIA WAPI?

Jibu la swali hili tunalipata katika kitabu cha Kumbukumbu la Torati 34,  Kumbukumbu 34:1 "Musa akapanda kutoka uwanda wa Moabu mpaka mlima Nebo, hata kilele cha Pisga kukabili Yeriko. Bwana…

KUOTA MTU ALIYEKUFA.

Ndoto yoyote ni lazima idondoke kati ya mojawapo ya haya makundi matatu: Kundi la kwanza ni ndoto zinazotoka na Mungu, kundi la pili ni ndoto zinazotoka kwa shetani na kundi…

KWANINI MOTO NA UPEPO VINAWAKILISHA TABIA ZA MUNGU?

Shalom, mtu Mungu nakukaribisha tujikumbushe tena Neno la Mungu kwa yale ambayo tulishawahi kujifunza huko nyuma lakini leo tutaangalia kwa upana zaidi, na naamini utaongeza kitu kipya katika ukristo wako(Wafilipi…

JIEPUSHE NA MANENO YA MANABII WA UONGO.

Jina la Bwana libarikiwe. Karibu tujifunze Biblia.. Hatari kubwa iliyopo katika siku hizi za mwisho ni Kunyanyuka kwa jopo kubwa la Manabii wa Uongo…Sasa biblia inapotaja uwepo wa manabii wa…

Apandacho mtu ndicho atakachovuna

Wagalatia 6:7 "Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna. 8 Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho,…