DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

BWANA ailaze roho ya marehemu mahali pema PEPONI.

SWALI: Ni sahihi kwa Mkristo mtakatifu kumwambia BWANA ailaze roho ya mtu aliyekufa mahali pema PEPONI? JIBU: Sio sahihi, kwasababu ameshakufa. Tumepewa amri ya kuombeana sisi kwa sisi, yaani tunapokuwa…

“Nami nikiinuliwa juu ya nchi,NITAWAVUTA WOTE KWANGU”(Yohana12:32).

SWALI: Nini maana ya haya maandiko “Nami nikiinuliwa juu ya nchi,NITAWAVUTA WOTE KWANGU”(Yohana12:32)?. JIBU: Tunaona wana wa Israeli baada ya kumkosa Mungu kule jangwani, Bwana aliwapiga kwa pigo la nyoka…

Je! Ni sawa kuingia katika shamba la mtu mwingine na kula jinsi utakavyo?

Kumbukumbu 23:24 Uingiapo katika shamba la mizabibu la jirani yako, utaweza kula zabibu za kukushibisha, kama upendavyo; ila usitie katika chombo chako. 25 Uingiapo katika mmea wa jirani yako waweza…

Je kuna andiko linalomruhusu mwanamke kuwa sister?

JIBU: Nadhani utakuwa unazungumzia ma-sisters mfano tunaowaona katika  dini ya Kikatoliki. Ni wazi kuwa hakuna andiko lolote au mahali popote kwenye biblia linasema hivyo. Lakini mwanamke anaweza akajizuia asiolewe kwa…

Yohana mbatizaji alibatizwa na nani?

JIBU: Biblia haijaeleza mahali popote ni nani aliyembatiza Yohana mbatizaji, lakini kwa hekima tunaweza kufahamu kuwa yeye naye alibatizwa kama alivyokuwa anawabatiza wengine, kwasababu ni sharti kwanza uwe kielelezo wa…

Usiku huu wa leo wanataka roho yako!” Ni wakina nani hawa?

SWALI: Luka 12:20 inasema “USIKU HUU WA LEO WANATAKA roho yako!” Ni wakina nani hawa wanaoitaka roho yake? Luka 12:13 Mtu mmoja katika mkutano akamwambia, Mwalimu, mwambie ndugu yangu anigawie urithi…

Viacheni vyote vikue hata wakati wa mavuno;” maana yake nini?

SWALI: Nini maana ya huu mstari? “Mathayo 13:30 Viacheni vyote vikue hata wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano…

YESU alimaanisha nini aliposema “mkono wako ukikukosesha ukate?

Mathayo 5:29 Jicho lako la kuume likikukosesha, ling’oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum.30 Na mkono wako wa kuume ukikukosesha, ukate…

Mithali 14:4 ‘Zizi ni safi ambapo hapana ngombe;

SWALI: Nini maana ya huu mstari? Mithali 14:4 ‘Zizi ni safi ambapo hapana ngombe;bali nguvu za ngombe zaleta faida nyingi'. JIBU: Hiyo ni hekima ya kidunia Sulemani aliiona ambayo pia…

Tofauti kati ya zaka na sadaka ni ipi?

JIBU: ZAKA/FUNGU LA KUMI Ni moja ya kumi au sehemu ya kumi ya mapato yako yote, hicho huwa kinakwenda kwa Bwana na ni wajibu kwa kila mkristo mwenye shughuli ya…