Jina la mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe. Karibu katika mwendelezo wetu wa kitabu cha nabii Yona. Tukiwa katika sura ya pili, tulishaona katika sura iliyopita jinsi Yona alivyojitenga na mapenzi…
Yona alikuwa mmoja wa manabii wa Israeli wakati wa utawala wa Yeroboamu Mfalme wa Israeli, ambaye Mungu alimtumia sana kutoa unabii kadha wa kadha katika Israeli, kama tunavyomsoma katika (2Wafalme 14:21-25).…
Jina la YESU KRISTO BWANA wetu lisifiwe. Karibu kwenye mwendelezo wa kitabu cha Esta, leo tukiwa katika sura za mwisho, yapo mambo mengi ya kujifunza yahusuyo safari yetu ya ukristo…
Jina la mwokozi wetu YESU KRISTO litukuzwe. Huu ni mwendelezo wa kitabu cha Esta. Katika sura hizi tatu (5,6 na 7), tunaona Malkia Esta akienda kijihudhurisha mbele ya mfalme kinyume…
BWANA wetu YESU KRISTO atukuzwe. Karibu katika uchambuzi wa kitabu cha Esta. Leo tukiwa katika sura ya 4, hivyo ni vizuri kama utapitia binafsi kwanza kusoma sura hii na zilizotangulia ili…
Jina la Bwana wetu YESU KRISTO aliye mkuu wa uzima wote litukuzwe. Karibu katika kujifunza NENO la Mungu ili tukue toka utukufu hata utukufu mpaka tutakapofikia kile kilele cha kumjua sana…
MFALME wa WAFALME YESU KRISTO Bwana wetu, atukuzwe daima Karibu kwa neema za Mungu tujifunze kitabu cha Esta leo tukianza na ile sura ya 1 na ya 2.Ni vizuri ukiwa…
Utapata Majibu ya Maswali mengi kupitia page hii. Karibu sana! 1. Kuota Mtu aliyekufa maana yake nini 2. Je apandacho mtu ndicho atakachovuna? 3. Je Kuota unakimbizwa ina maana gani?…
Dalili zote zinaonyesha kuwa tunaishi katika wakati wa kumalizia, kurudi kwa YESU KRISTO mara ya pili kulinyakua kanisa na kuleta utawala mpya hapa duniani wa miaka 1000 umekaribia sana. Kama…