DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

CHAGUA NI JIWE LIPI LITAKALO KUFAA KWA UJENZI.

Katika ujenzi wa zamani majengo yote ili yasimame IMARA yalikuwa ni lazima lipatikane jiwe kubwa moja la mraba, na kuwekwa katika kona ya kuta mbili mahali zinapokutana, ili ujenzi uendelee katika…

ALAMA KATIKA VIPAJI VYA NYUSO.

Kama tukisoma biblia katika agano la kale, tunaona kuwa mambo yaliyokuwa yanamkasirisha sana Bwana Mungu na kumtia wivu, sio maovu yaliyokuwa yanatendeka katikati ya WATU WA MATAIFA, La! bali ni yale…

UTHABITI WA AGANO LA MUNGU KWA MKRISTO.

Wakati ule baada ya watu kumuudhi sana Mungu hata kufikia hatua ya BWANA kuleta GHARIKA juu ya dunia nzima, Na kama tunavyoijua habari ni Nuhu tu na familia yake ndio waliopona, lakini baada ya…

JIHADHARI NA ROHO ZIDANGANYAZO.

Mathayo 24:23-28 “23 Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki. 24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu;…

UMUHIMU WA KUISHI MAISHA YAMPENDEZAYO MUNGU SASA.

Jina kuu la Bwana wetu YESU KRISTO libarikiwe daima. Ni rahisi kudhania kuwa pindi unapoonza kufanya kazi ya utumishi wa Mungu hapo ndipo Mungu anaanza kupendezwa na wewe. Mfano pale…

JIRANI YANGU NI NANI?

Amri ya kwanza tuliyopewa na Bwana, ni kumpenda yeye kwa mioyo yetu yote, kwa nguvu zetu zote na kwa akili zetu zote, na nyingine inayofanana na hiyo ni kupendana sisi…

UMUHIMU WA KUZALIWA MARA YA PILI.

Ili kuelewa uzito wa Neno hili "KUZALIWA MARA YA PILI", Ni vizuri tukarejea katika maisha ya kawaida kujifunza vitu gani vinaambatana na kuzaliwa kwa mtu. Mtu kabla hajazaliwa sehemu kubwa ya maisha…

JE! WEWE NI MWANA WA IBRAHIMU?

Utaketi pamoja na Ibrahimu katika ufalme wa Mungu katika siku ile?. Ni vigezo gani vitakufanya ukidhi viwango vya kufanana na Ibrahimu. Jibu lipo dhahiri ni IMANI. Unapaswa uwe na imani…

HUDUMA YA (ELIFAZI, SOFARI, NA BILDADI).

Habari za Elifazi, Sofari, na Bildadi tunazipata katika kitabu cha Ayubu, kama wewe ni msomaji wa biblia utakumbuka kuwa  walikuwa ni marafiki wa Ayubu  wa karibu sana waliokuja kumlilia pale…

INJILI YA MILELE NI IPI KATIKA BIBLIA?

Licha ya kuwa na INJILI YA MSALABA,ambayo ndio kiini cha kila mwanadamu ipo injili nyingine pia ijulikanayo kama INJILI YA MILELE, hii ni tofauti na injili ya msalaba. Injili ya msalaba yenyewe…