DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Sala ya baraka (Hesabu 6:24-26).

(Masomo maalumu kwa watumishi wa Mungu). Katika agano la Kale, Mungu aliwafundisha Haruni (aliyekuwa kuhani mkuu) pamoja na wanawe wote, jinsi ya kuwabarikia wana wa Israeli, na kupitia sala hiyo,…

Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya (Kutoka 14:14)

Kutoka 14:13 “Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa Bwana atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele. 14 BWANA ATAWAPIGANIA NINYI, NANYI MTANYAMAZA KIMYA”.…

Mwanzo 1:26-27 (Tumfanye mtu kwa mfano wetu).

Mwanzo1:26 "Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa…

Kuapiza ni nini? (Mathayo 5:21-22)

Mathayo 5:21  Mmesikia watu wa kale walivyoambiwa, Usiue, na mtu akiua, itampasa hukumu. 22  Bali mimi nawaambieni, Kila amwoneaye ndugu yake hasira itampasa hukumu; na mtu akimfyolea ndugu yake, itampasa…

Je biblia inajichanganya kwa habari za Yohana kuwa Eliya?

Swali: Tunaona sehemu moja Bwana YESU akimshuhudia Yohana Mbatizaji kuwa yeye ndiye Eliya ajaye (Mathayo 11:14), lakini sehemu nyingine Yohana Mbatizaji anakataa jambo hilo kuwa yeye si Eliya, (Yohana 1:19-21)…

Nini maana ya  “manabii wote na torati walitabiri mpaka wakati wa Yohana” (Mathayo 11:13)

Jibu:Turejee, Mathayo 11:12 “Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka. 13  KWA MAANA MANABII WOTE NA TORATI WALITABIRI MPAKA WAKATI…

Je Bwana YESU alimjibu Pilato au hakumjibu? Je biblia inajichanganya?

Swali: Je biblia inajichanganya kwa habari ya Bwana YESU kumjibu Pilato? Maana katika (Yohana 18:33-34) inasema alimjibu lakini katika (Mathayo 27:13-14)..  inasema hakujibu chochote alipoulizwa? Je lipi ni sahihi? Jibu:…

JE NI YESU YUPI UNAYE? WA KIDINI AU WA UFUNUO!

Jina la Bwana na Mwokozi Mkuu YESU KRSTO libarikiwe daima! Kuna tofauti ya kumjua YESU WA KIDINI na yule wa UFUNUO (Yaani Yesu aliyefunuliwa maishani mwako na yule uliyempokea kwa…

Fahamu maana ya Isaya 24:16-18 Kukonda kwangu!

SWALI: Nini Maana ya Isaya  24:16-18, inapomzungumzia mwenye haki, na anaposema Kukonda kwangu! Isaya 24:16 Toka pande za mwisho wa dunia tumesikia nyimbo, Atukuzwe mwenye haki. Ndipo niliposema, Kukonda kwangu!…

NGUVU YA “KUKATAA” UNAPOPAMBANA VITA VYA KIROHO

Ushindi wa kwanza wa vita vya kiroho unaanza na “kukataa”.. Na kukataa kunaanza katika “moyo”, na kunaishia katika “kinywa”.. Unapoukiri udhaifu ndivyo unavyopata Nguvu juu yako vile vile unapoukiri uzima…