{"id":69807,"date":"2026-05-06T21:08:49","date_gmt":"2026-05-06T18:08:49","guid":{"rendered":"https:\/\/wingulamashahidi.org\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/pharisees.webp"},"modified":"2026-05-06T21:08:57","modified_gmt":"2026-05-06T18:08:57","slug":"pharisees-2","status":"inherit","type":"attachment","link":"https:\/\/wingulamashahidi.org\/ln\/pharisees-2\/","title":{"rendered":"pharisees"},"author":1,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"closed","template":"","meta":{"_exactmetrics_skip_tracking":false,"episode_type":"","audio_file":"","podmotor_file_id":"","podmotor_episode_id":"","cover_image":"","cover_image_id":"","duration":"","filesize":"","filesize_raw":"","date_recorded":"","explicit":"","block":""},"class_list":["post-69807","attachment","type-attachment","status-inherit","hentry"],"description":{"rendered":"<p class=\"attachment\"><a href='https:\/\/wingulamashahidi.org\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/pharisees.webp'><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"300\" height=\"142\" src=\"https:\/\/wingulamashahidi.org\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/pharisees-300x142.webp\" class=\"attachment-medium size-medium\" alt=\"Jina la Bwana na Mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe, karibu tujifunze maandiko..\n\nIpo tofauti kati ya \u201ckufahamu jambo\u201d na \u201ckulijua jambo\u201d.. Unaweza kulifahamu jambo lakini usilijue kwa undani, vivyo hivyo kuna tofauti ya \u201ckuyafahamu maandiko\u201d na \u201ckuyajua maandiko\u201d.\u00a0 Hivi ni vitu viwili vyenye tofauti kubwa sana, hebu tujifunze kidogo kwa namna gani.\n\nTusome habari ifuatayo kisha tufafanue..\n\nMathayo 22:23 \u201cSiku ile Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza,\n\n24 wakisema, Mwalimu, Musa alisema, Mtu akifa, akiwa hana watoto, ndugu yake na amwoe yule mkewe, ili ampatie nduguye mzao.\n\n25 Basi, kwetu kulikuwa na ndugu saba; wa kwanza akaoa, akafariki, na kwa kuwa hana mzao, akamwachia nduguye mke wake.\n\n26 Vivyo hivyo wa pili naye, na wa tatu, hata wote saba.\n\n27 Mwisho wa wote yule mwanamke akafa naye.\n\n28 Basi, katika kiyama, atakuwa mke wa yupi katika wale saba? Maana wote walikuwa naye.\n\n29 Yesu akajibu, akawaambia, MWAPOTEA, KWA KUWA HAMYAJUI MAANDIKO WALA UWEZA WA MUNGU.\n\n30 Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni\u201d.\n\nNataka tuzingatia hilo neno \u201cMWAPOTEA, KWA KUWA HAMYAJUI MAANDIKO WALA UWEZA WA MUNGU\u201d.\n\nKumbuka hawa watu waliokuja kumwuliza Bwana hilo swali ni MASADUKAYO, ni watu wa dini, wanayoyafahamu maandiko karibia yote ya kwenye torati, na hapa wanamjia YESU kwa swali linalotoka katika maandiko ya MUSA (torati), wakisema \u201cMtu akifa basi mke wake anaruhusa ya kuolewa na ndugu wa karibu\u201d.. jambo ambalo ni kweli kabisa lipo kwenye Biblia.\n\nLakini pamoja na kwamba walikuwa wanayafahamu hayo maandiko, bado Bwana YESU anawaambia \u201cHawayajui maandiko\u201d na tena wanapotea sana.\n\n\u201c29 Yesu akajibu, akawaambia, MWAPOTEA, KWA KUWA HAMYAJUI MAANDIKO WALA UWEZA WA MUNGU.\n\n30 Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni\u201d.\n\nTuirudie tena habari hii katika Marko..\n\nMarko 12:24 Yesu akajibu, akawaambia, JE! HAMPOTEI KWA SABABU HII, KWA KUWA HAMYAJUI MAANDIKO wala uweza wa Mungu?\n\n25 Kwa maana watakapofufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika walioko mbinguni.\n\n26 Na kwa habari ya wafu ya kwamba wafufuliwa, hamjasoma katika kitabu cha Musa, Sura ya Kijiti, jinsi Mungu alivyomwambia, akisema, Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo?\n\n27 Yeye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai. Hivyo mwapotea sana\u201d.\n\nKumbe wakati ambao wanajidhania kuwa wanayajua maandiko kwa wingi wa mistari wanayoifahamu vichwani mwao, Kristo alikuwa anawaona hawajui chochote, na hiyo ndio sababu kuu ya kupotea kwao, hawayajui maandiko bali wanayafahamu tu.\n\nNdugu hatupaswi kuwa kama compyuta au simu ambao inaweza kuwa na vitu vingi pamoja na biblia nzima, lakini haiyajui maandiko, na wala yale maandiko hayaisaidii kwa chochote.\n\nHatupaswi kuwa na idadi kubwa ya mistari vichani ambayo haina ufunuo wowote. Mistari yenye nguvu na ibilisi anayoigopa ni ile iliyopo moyoni iliyobeba ufunuo, maana yake yenye uhai katika maisha ya mtu, na inayomwongoza, na yenye nguvu, na inayothibitisha imani.\n\nMasadukayo walikuwa wanafahamu tu Musa kasema, na kujitamba katika hayo, pasipo kujua kuwa andiko bila ufunuo ni bure..\n\nSasa swali ni je!, tutayajuaje maandiko badala ya kuyafahamu tu?\n\nKinachotangulia ni kuyafahamu, ni lazima tuyafahamu na kufahamu kunakuja kwa kuyasoma au kuyasikia yanaposomwa.. baada ya kuyafahamu hatua inayofuata ni kuyajua. Na njia pekee ya kuyajua maandiko ni kwa kupitia Roho Mtakatifu..\n\nHuyu peke yake ndiye anayeweza kutuhamisha kutoka katika kuyafahamu maandiko mpaka kuyajua, kwani anapoingia ndani ya Mtu, anakuwa ni Mwalimu mwingine wa ziada, kukufundisha maana za ndani ya maandiko uyasomayo, anakuchambulia na kukufundisha mambo ambayo hata ukirudia kusoma tena hilo andiko ulilolisoma utaona kama vile ni jingine kabisa, na huo ndio uhudumu wa agano jipya unaotajwa katika 2Wakorintho 3:6, ambao unatutosheleza.\n\n2Wakorintho 3:6 \u201cNaye ndiye aliyetutosheleza kuwa wahudumu wa agano jipya; si wa andiko, bali wa roho; kwa maana andiko huua, bali roho huhuisha\u201d.\n\nJe tayari umempokea Roho Mtakatifu?.. kama bado mwamini YESU na tubu dhambi kwa kumaanisha kuziacha, kisha tafuta ubatizo sahihi wa maji mengi na kwa jina la Bwana YESU KRISTO, baada ya hapo Roho Mtakatifu ataingia ndani yako na kukaa na wewe siku zote, kwani ahadi ya Roho Mtakatifu ni kwa kila mtu.\n\nMatendo 2:38 \u201cPetro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.\n\n39 Kwa kuwa ahadi hii ni kwa ajili yenu, na kwa watoto wenu, na kwa watu wote walio mbali, na kwa wote watakaoitwa na Bwana Mungu wetu wamjie\u201d.\n\nBwana akubariki.\n\nWashirikishe na wengine habari hizi njema kwa kushea\n\nIkiwa utapenda kupata msaada wa kumpokea Yesu maishani mwako bure, Basi wasiliana nasi kwa namba uzionazo chini ya makala hii.\n\nPia kwa kupokea mafundisho ya kila siku kwa njia ya WHATSAPP, jiunge na channel yetu kwa kubofya link hii &gt;&gt; https:\/\/whatsapp.com\/channel\/0029VaBVhuA3WHTbKoz8jx10\n\nKwa mawasiliano: +255693036618 au +255789001312\n\nBwana akubariki.\n\nMafundisho mengine:\n\nJE UNAZAA MATUNDA NA KUWAPONYA MATAIFA?\n\n\nIpi tofauti ya \u201cMajibu\u201d ya Maombi na \u201cMajaribu\u201d.\n\n\nIpi Tofauti ya Agano jipya na Agano la Kale?.\n\n\nTOFAUTI KATI MAASKOFU, MASHEMASI, WAZEE WA KANISA NI IPI?\n\n\nNini tofauti kati ya kileo na divai ?\" srcset=\"https:\/\/wingulamashahidi.org\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/pharisees-300x142.webp 300w, https:\/\/wingulamashahidi.org\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/pharisees-600x283.webp 600w, https:\/\/wingulamashahidi.org\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/pharisees.webp 720w\" sizes=\"auto, (max-width: 300px) 100vw, 300px\" \/><\/a><\/p>\n<div class='share-to-whatsapp-wrapper'><div class='share-on-whsp'>Share on: <\/div><a data-text='pharisees' data-link='https:\/\/wingulamashahidi.org\/ln\/pharisees-2\/' class='whatsapp-button whatsapp-share'>WhatsApp<\/a><div class='clear '><\/div><\/div>"},"caption":{"rendered":"<p>Share on: WhatsApp<\/p>\n"},"alt_text":"Jina la Bwana na Mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe, karibu tujifunze maandiko..\n\nIpo tofauti kati ya \u201ckufahamu jambo\u201d na \u201ckulijua jambo\u201d.. Unaweza kulifahamu jambo lakini usilijue kwa undani, vivyo hivyo kuna tofauti ya \u201ckuyafahamu maandiko\u201d na \u201ckuyajua maandiko\u201d.\u00a0 Hivi ni vitu viwili vyenye tofauti kubwa sana, hebu tujifunze kidogo kwa namna gani.\n\nTusome habari ifuatayo kisha tufafanue..\n\nMathayo 22:23 \u201cSiku ile Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza,\n\n24 wakisema, Mwalimu, Musa alisema, Mtu akifa, akiwa hana watoto, ndugu yake na amwoe yule mkewe, ili ampatie nduguye mzao.\n\n25 Basi, kwetu kulikuwa na ndugu saba; wa kwanza akaoa, akafariki, na kwa kuwa hana mzao, akamwachia nduguye mke wake.\n\n26 Vivyo hivyo wa pili naye, na wa tatu, hata wote saba.\n\n27 Mwisho wa wote yule mwanamke akafa naye.\n\n28 Basi, katika kiyama, atakuwa mke wa yupi katika wale saba? Maana wote walikuwa naye.\n\n29 Yesu akajibu, akawaambia, MWAPOTEA, KWA KUWA HAMYAJUI MAANDIKO WALA UWEZA WA MUNGU.\n\n30 Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni\u201d.\n\nNataka tuzingatia hilo neno \u201cMWAPOTEA, KWA KUWA HAMYAJUI MAANDIKO WALA UWEZA WA MUNGU\u201d.\n\nKumbuka hawa watu waliokuja kumwuliza Bwana hilo swali ni MASADUKAYO, ni watu wa dini, wanayoyafahamu maandiko karibia yote ya kwenye torati, na hapa wanamjia YESU kwa swali linalotoka katika maandiko ya MUSA (torati), wakisema \u201cMtu akifa basi mke wake anaruhusa ya kuolewa na ndugu wa karibu\u201d.. jambo ambalo ni kweli kabisa lipo kwenye Biblia.\n\nLakini pamoja na kwamba walikuwa wanayafahamu hayo maandiko, bado Bwana YESU anawaambia \u201cHawayajui maandiko\u201d na tena wanapotea sana.\n\n\u201c29 Yesu akajibu, akawaambia, MWAPOTEA, KWA KUWA HAMYAJUI MAANDIKO WALA UWEZA WA MUNGU.\n\n30 Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni\u201d.\n\nTuirudie tena habari hii katika Marko..\n\nMarko 12:24 Yesu akajibu, akawaambia, JE! HAMPOTEI KWA SABABU HII, KWA KUWA HAMYAJUI MAANDIKO wala uweza wa Mungu?\n\n25 Kwa maana watakapofufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika walioko mbinguni.\n\n26 Na kwa habari ya wafu ya kwamba wafufuliwa, hamjasoma katika kitabu cha Musa, Sura ya Kijiti, jinsi Mungu alivyomwambia, akisema, Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo?\n\n27 Yeye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai. Hivyo mwapotea sana\u201d.\n\nKumbe wakati ambao wanajidhania kuwa wanayajua maandiko kwa wingi wa mistari wanayoifahamu vichwani mwao, Kristo alikuwa anawaona hawajui chochote, na hiyo ndio sababu kuu ya kupotea kwao, hawayajui maandiko bali wanayafahamu tu.\n\nNdugu hatupaswi kuwa kama compyuta au simu ambao inaweza kuwa na vitu vingi pamoja na biblia nzima, lakini haiyajui maandiko, na wala yale maandiko hayaisaidii kwa chochote.\n\nHatupaswi kuwa na idadi kubwa ya mistari vichani ambayo haina ufunuo wowote. Mistari yenye nguvu na ibilisi anayoigopa ni ile iliyopo moyoni iliyobeba ufunuo, maana yake yenye uhai katika maisha ya mtu, na inayomwongoza, na yenye nguvu, na inayothibitisha imani.\n\nMasadukayo walikuwa wanafahamu tu Musa kasema, na kujitamba katika hayo, pasipo kujua kuwa andiko bila ufunuo ni bure..\n\nSasa swali ni je!, tutayajuaje maandiko badala ya kuyafahamu tu?\n\nKinachotangulia ni kuyafahamu, ni lazima tuyafahamu na kufahamu kunakuja kwa kuyasoma au kuyasikia yanaposomwa.. baada ya kuyafahamu hatua inayofuata ni kuyajua. Na njia pekee ya kuyajua maandiko ni kwa kupitia Roho Mtakatifu..\n\nHuyu peke yake ndiye anayeweza kutuhamisha kutoka katika kuyafahamu maandiko mpaka kuyajua, kwani anapoingia ndani ya Mtu, anakuwa ni Mwalimu mwingine wa ziada, kukufundisha maana za ndani ya maandiko uyasomayo, anakuchambulia na kukufundisha mambo ambayo hata ukirudia kusoma tena hilo andiko ulilolisoma utaona kama vile ni jingine kabisa, na huo ndio uhudumu wa agano jipya unaotajwa katika 2Wakorintho 3:6, ambao unatutosheleza.\n\n2Wakorintho 3:6 \u201cNaye ndiye aliyetutosheleza kuwa wahudumu wa agano jipya; si wa andiko, bali wa roho; kwa maana andiko huua, bali roho huhuisha\u201d.\n\nJe tayari umempokea Roho Mtakatifu?.. kama bado mwamini YESU na tubu dhambi kwa kumaanisha kuziacha, kisha tafuta ubatizo sahihi wa maji mengi na kwa jina la Bwana YESU KRISTO, baada ya hapo Roho Mtakatifu ataingia ndani yako na kukaa na wewe siku zote, kwani ahadi ya Roho Mtakatifu ni kwa kila mtu.\n\nMatendo 2:38 \u201cPetro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.\n\n39 Kwa kuwa ahadi hii ni kwa ajili yenu, na kwa watoto wenu, na kwa watu wote walio mbali, na kwa wote watakaoitwa na Bwana Mungu wetu wamjie\u201d.\n\nBwana akubariki.\n\nWashirikishe na wengine habari hizi njema kwa kushea\n\nIkiwa utapenda kupata msaada wa kumpokea Yesu maishani mwako bure, Basi wasiliana nasi kwa namba uzionazo chini ya makala hii.\n\nPia kwa kupokea mafundisho ya kila siku kwa njia ya WHATSAPP, jiunge na channel yetu kwa kubofya link hii >> https:\/\/whatsapp.com\/channel\/0029VaBVhuA3WHTbKoz8jx10\n\nKwa mawasiliano: +255693036618 au +255789001312\n\nBwana akubariki.\n\nMafundisho mengine:\n\nJE UNAZAA MATUNDA NA KUWAPONYA MATAIFA?\n\n\nIpi tofauti ya \u201cMajibu\u201d ya Maombi na \u201cMajaribu\u201d.\n\n\nIpi Tofauti ya Agano jipya na Agano la Kale?.\n\n\nTOFAUTI KATI MAASKOFU, MASHEMASI, WAZEE WA KANISA NI IPI?\n\n\nNini tofauti kati ya kileo na divai ?","media_type":"image","mime_type":"image\/webp","media_details":{"width":720,"height":340,"file":"2026\/05\/pharisees.webp","filesize":42140,"sizes":{"medium":{"file":"pharisees-300x142.webp","width":300,"height":142,"filesize":12218,"mime_type":"image\/webp","source_url":"https:\/\/wingulamashahidi.org\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/pharisees-300x142.webp"},"thumbnail":{"file":"pharisees-150x150.webp","width":150,"height":150,"filesize":6456,"mime_type":"image\/webp","source_url":"https:\/\/wingulamashahidi.org\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/pharisees-150x150.webp"},"woocommerce_thumbnail":{"file":"pharisees-300x300.webp","width":300,"height":300,"filesize":17386,"mime_type":"image\/webp","source_url":"https:\/\/wingulamashahidi.org\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/pharisees-300x300.webp"},"woocommerce_single":{"file":"pharisees-600x283.webp","width":600,"height":283,"filesize":34202,"mime_type":"image\/webp","source_url":"https:\/\/wingulamashahidi.org\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/pharisees-600x283.webp"},"woocommerce_gallery_thumbnail":{"file":"pharisees-100x100.webp","width":100,"height":100,"filesize":3308,"mime_type":"image\/webp","source_url":"https:\/\/wingulamashahidi.org\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/pharisees-100x100.webp"},"full":{"file":"pharisees.webp","width":720,"height":340,"mime_type":"image\/webp","source_url":"https:\/\/wingulamashahidi.org\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/pharisees.webp"}},"image_meta":{"aperture":"0","credit":"","camera":"","caption":"","created_timestamp":"0","copyright":"","focal_length":"0","iso":"0","shutter_speed":"0","title":"","orientation":"0","keywords":[]}},"post":null,"source_url":"https:\/\/wingulamashahidi.org\/wp-content\/uploads\/2026\/05\/pharisees.webp","filename":"pharisees.webp","filesize":42140,"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/wingulamashahidi.org\/ln\/wp-json\/wp\/v2\/media\/69807","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/wingulamashahidi.org\/ln\/wp-json\/wp\/v2\/media"}],"about":[{"href":"https:\/\/wingulamashahidi.org\/ln\/wp-json\/wp\/v2\/types\/attachment"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/wingulamashahidi.org\/ln\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/wingulamashahidi.org\/ln\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=69807"}]}}