Category : Kansa

Hakuna mtu angependa kupokea aina ya taarifa niliyoipokea mimi kwenye simu kutoka kwa daktari wangu. Daktari Alisema Shirley umetafunwa na kansa sana sio tu kwenye matiti yako bali mpaka kwenye mifupa yako, na viungo vyako vya ndani,na mpaka kwenye tezi zako. Kwa kweli nililia sana nikajiuliza, hii inawezakanikaje kwani nimekuwa nikimtumikia Mungu maisha yangu yote, ..

Read more