Wenye kubatizwa kwa ajili ya wafu ni wakina nani?

Swali linaendelea… kulingana na huu mstari  huu (1Wakoritho 15:29 )inaonekana kuwa wale wanaobatiza watu kwa ajili ya watu waliokufa zamani katika dhambi zao au kuwaombea, wapo sahihi na wanachofanya ni sawa kwasababu hata maandiko yanathibitisha hilo?.. Naomba kufahamu juu ya hilo.  JIBU: Ili tuweze kuelewa vizuri Ni vema Tukiisoma hiyo habari tokea juu kuanzia ule … Continue reading Wenye kubatizwa kwa ajili ya wafu ni wakina nani?