https://www.high-endrolex.com/4

Machapisho mapya

Ya hivi karibuni..

kumwamini Bwana YESU
ByAdmin Nov 7, 2024

JE KUMWAMINI BWANA YESU PEKEE INATOSHA?

Swali: Neno la Mungu linasema Katika Yohana 3:18 na 36 ..amwaminiye mwana anao uzima wa milele, asiyemwamini hana uzima? .. Je kuna haja ya kutafuta jambo lingine tena baada ya…

neno kumwamba (Zaburi 78:19)
ByAdmin Nov 6, 2024

Nini maana ya neno kumwamba (Zaburi 78:19)

Zaburi 78:18-19 Wakamjaribu Mungu mioyoni mwao Kwa kutaka chakula kwa tamaa zao. Naam, walimwamba Mungu, wakasema, Je! Mungu aweza kuandika meza jangwani?  Kumwamba kama ilivyotumika hapo ni “kuzungumza kinyume” Hivyo hapo anaposema  “Naam,…

ByAdmin Nov 6, 2024

JIFUNZE KWA SHUJAA YAELI.

(Ukarimu na maziwa) Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo mwokozi wetu. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Haya ni mafunzo maalumu kwa ajili ya wanawake. Ikiwa utatamani kupata mengine mengi basi…

ByAdmin Nov 5, 2024

msalaba ni nini.

Msalaba ni kipande cha mti, kilichochongwa kwa kupishanishwa na kingine kwa juu. chenye lengo la kumuulia mwanadamu kwa kifo cha mateso. Tofauti na sasa, ambapo adhabu nyingi za kifo kwa…

KAATI na NUNGU
ByAdmin Nov 4, 2024

Kaati na Nungu ni viumbe gani? (Isaya 34:11)

Isaya 34:11 “KAATI na NUNGU wataimiliki, bundi na kunguru watakaa huko, naye atanyosha juu yake kamba ya ukiwa na timazi ya utupu”. Jibu: “Kaati” ni “bundi wa jangwani” (wanaoishi majangwani),…

Nini maana ya “Hefsiba
ByAdmin Nov 2, 2024

Nini maana ya “Hefsiba” na “Beula” (Isaya 62:4)?

Jibu: Tuirejee. Isaya 62:4 “ Hutaitwa tena ALIYEACHWA, wala nchi yako haitaitwa tena, UKIWA; bali utaitwa HEFSIBA; na nchi yako BEULA; kwa kuwa Bwana anakufurahia, na nchi yako itaolewa.  5…

Je! Ungependa kuchangia huduma hii?

"Tutafurahi kama utashirikiana nasi kwa mchango wako, au maombi yako au nguvu zako katika kusambaza jumbe hizi kwa wengine na Mungu atakubariki."

Wingu La Mashahidi Wa Kristo

Waebrania 12:1 "Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,"

Mafundisho

kupitia tovuti hii utapata kujifunza misingi mingi ya Biblia kwa masomo yanayochapishwa humu kila siku. Hivyo usipitwe

je! Una maswali yoyote kuhusu biblia?

Tovuti hii inakupa wigo wa kuuliza maswali, na pia kujifunza kwa kupitia maswali mengi yaliyojibiwa

Shuhuda

Utapata pia kusoma shuhuda mbali mbali zitakazokusaidia kuimarisha imani yako

Download

download video, audio, pdf za masomo mbalimbali