Mafundisho

Masomo ya hivi karibuni ni ya kwanza katika orodha, ili kusoma, bofya kichwa cha somo husika kufungua. Pia ukiwa na maswali/ unahitaji maombezi/ piga namba hizi: +255693036618/ +255789001312

KARIBU KATIKA MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU, MAHUBIRI YA NENO LA MUNGU YANAPATIKANA BURE MUNGU AKUBARIKI.

 Pia kama utapenda kuyapata kwa njia ya Whatsapp  bofya hapa chini kujiunga>

https://chat.whatsapp.com/GBX2lWIcoCq8zmlnXJgaWQ
https://chat.whatsapp.com/GBX2lWIcoCq8zmlnXJgaWQ

Print this post

114 comments so far

Amos MakobaPosted on12:59 um - Julai 30, 2020

Naombeni mniadd kwenye group la WhatsApp
Namba yangu ni: 0747520134

Peter MadejePosted on9:55 um - Agosti 4, 2020

Nimeyapenda sana MASOMO yenu Watumishi Wa MUNGU.

Naomba mniunge kwenye group la WHATSAPP
Namba: 0622472207

AsiyejulikanaPosted on2:53 um - Septemba 17, 2020

Naomba uniadd kwenye group lenu 0718825522 idanbless

JoshuaPosted on11:24 mu - Oktoba 15, 2020

Mwenyezi Mungu azidi kuwapa Neema

Daudi SagaraPosted on8:54 mu - Oktoba 26, 2020

Nafatilia mafundisho yenu kwa karibu sana. Yamenijenga kwa sehemu kubwa sana.
naomba mniunganishe kwenye grup lenu. 0755 682 410

Charles majaliwaPosted on8:26 um - Novemba 14, 2020

Maomb mniadd 0752945620

Charles majaliwaPosted on2:12 um - Novemba 15, 2020

Nabarikiwa na haya masomo mnayofundisha ombi langu naombeni mnitumie somo kuhusu mapenzi ya mungu na jinsi ya kuomba maana mimi huwa sijui nianzie wap wakat wa kuomba hivyo nakuwa kwenye wakat mgumu NAOMBA MNITUMIE KWENYE EMAIL YANGU majaliwacharles57@gmail.com

Lodrick James massawePosted on6:18 mu - Novemba 21, 2020

Asante kwa kaz nzur, Mungu awabariki, naomba niunge ktk group namba yngu 0712224315

Lodrick James massawePosted on6:30 mu - Desemba 1, 2020

Sijabatizwa,nahtaji kubatizwa ubatizo wa maji meng

Hezron mwalongoPosted on3:33 mu - Desemba 24, 2020

Mtumishi wa Bwana hongera kwa huduma ya Mungu aliyoiweka ndani yako ubarikiwe sana.
Umeainisha vichwa vya masomo mazuri sana hapo juu sasa, nitayapataje masomo hayo?

AdminPosted on10:15 mu - Desemba 25, 2020

Amen!

Lipo group whatsapp, tutafute kwa namba zilizopo kwenye tovuti hapo juu.

JosephPosted on7:21 um - Desemba 29, 2020

Asante sana mtumishi

AsiyejulikanaPosted on1:08 um - Januari 2, 2021

Admin
Niunge kwenye group namba 0752360805

ALLY NASHONPosted on11:46 mu - Januari 7, 2021

0756678553 naomba kuungwa kwenye kundi la whatsapp

EZEKIELY MARKOPosted on3:22 um - Januari 15, 2021

TUMEBARIKIWA NA KAZI MNAYOIFANYA WATUMISHI WA MUNGU

TimotheoPosted on3:59 um - Februari 1, 2021

Mungu awabariki sana.

Baraka SammoPosted on1:04 um - Februari 17, 2021

Nafuatilia mafundisho mengi mnayoyatoa katika blog hii kwa kiasi kikubwa kimebadilisha ufahamu wangu na kuyajua mengi katika Neno la Mungu.
Naomba kuunganishwa kwenye group la Whatsapp
Namba hii: 0789 877 627

Cleven NassaryPosted on8:30 um - Februari 18, 2021

Mungu azidi kukubaliki mtumishi katika mafumdisho yako haya,Mimi ningependa unisaidie ni kwa namna gani naweza kufunga maagano ya laana yaliyopo kwenye maisha yangu na familia yangu

    AdminPosted on8:53 um - Februari 18, 2021

    Nawe pia ubarikiwe..
    Unaweza kufunga maagano hayo, kwa kuingizwa kwenye agano lingine lili bora zaidi na lenye nguvu zaidi ya hayo, na hiyo ni kwa kumwamini Yesu Kristo na kubatizwa katika jina lake. Ukikamilisha hayo, Mungu atakufungua katika maagano yote ya laana unayoyajua.

RichardPosted on9:07 mu - Mechi 17, 2021

Mm nawapenda sana pia naomba mniunga ishe kwenye wasap 0672992163pia jinsi ya kudiwnload

JosephPosted on8:58 um - Aprili 26, 2021

Barikiwa sana mtumishi naomba uniunge kwenye WhatsApp

Benson mlayPosted on12:29 mu - Mei 9, 2021

0672802347
Naombeni mniunge whatap

Joes mikePosted on10:21 mu - Mei 23, 2021

Nimefurahi sana kuona mafundisho yenu tafadhali niunge kwenye whatsap group yenu

Joseph NyangiraPosted on6:05 um - Juni 12, 2021

Naomba mniunge kwenye grup la watsapp no 0622659629

Reuben Onchonga NdemoPosted on10:49 um - Juni 14, 2021

Tafadhali naomba kufahamu saidi kuhusu, matatizo yanayokumba ndoa na suluhizo

Jackson ChikaoPosted on8:41 um - Juni 28, 2021

Shalomu Kiongozi

Nimependezwa na mafundisho kwa kweli maana najifunza vyema neno la Mungu ili niweze mshinda shetani zaidi kwani hata Yesu alipokuwa akijaribiwa alimshinda shetani kwa maandiko matakatifu naomba kujifunza zaidi