Wafilipi 1:21 “Kwa maana kwangu mimi kuishi ni Kristo, na kufa ni faida. 22 Ila ikiwa kuishi katika mwili, kwangu mimi ni matunda ya kazi; basi nitakalolichagua silitambui.”
2 Petro 2:20 “Kwa maana wale waliokwisha kuyakimbia machafu ya dunia kwa kumjua Bwana na Mwokozi Yesu Kristo, kama wakinaswa tena na kushindwa, hali yao ya mwisho imekuwa mbaya kuliko ile ya kwanza.
21 Maana ingekuwa heri kwao kama wasingaliijua njia ya haki, kuliko kuijua, kisha kuiacha ile amri takatifu waliyopewa”
Wafilipi 2:15 “….mpate kuwa wana wa Mungu wasio na lawama, wala udanganyifu, wasio na ila kati ya kizazi chenye ukaidi, kilichopotoka; ambao kati ya hao MNAONEKANA KUWA KAMA MIANGA KATIKA ULIMWENGU”
Yohana 6: 44 “Hakuna mtu awezaye kuja kwangu, asipovutwa na Baba aliyenipeleka; nami nitamfufua siku ya mwisho”.
Bwana akubariki sana. Wahubirie na wengine habari njema, waujue wokovu wa Bwana Yesu.
Mada nyinginezo:
TUTAWEZAJE KUMZALIA MUNGU MATUNDA?
TABIA YA KIPEKEE USIYOIJUA KUHUSU NENO LA MUNGU.
UMUHIMU WA KUISHI MAISHA YAMPENDEZAYO MUNGU SASA.
MUNGU MWENYE HAKI.
MLINZI, NI HABARI GANI ZA USIKU?
LILE TUMAINI LILILO NDANI YETU LINAPOULIZIWA.
NGUVU YA UPOTEVU.
Rudi Nyumbani:
Print this post