Shalom..Mungu alimwumba Adamu mmoja tu hakukuwa na mwingine…Kumbuka biblia sehemu nyingi haijaandikwa katika mtiririko wa matukio yanayofuatana kwamba likitoka hili linafuata lingine..hapana bali sehemu nyingine ina tabia ya kwenda mbele na kurudi nyuma..
Kwamfano Kitabu cha Mwanzo sura ya Pili kinaelezea kwa undani jambo lililotokea Mwanza sura ya kwanza…ukisoma mwanzo sura ya kwanza utaona vitu vimeandikwa kwa ufupi tu, kwa mfano ukisoma mwanzo 1:11-12, utaona biblia inasema “11 Mungu akasema, Nchi na itoe majani, mche utoao mbegu, na mti wa matunda uzaao matunda kwa jinsi yake, ambao mbegu zake zimo ndani yake, juu ya nchi; ikawa hivyo. 12 Nchi ikatoa majani, mche utoao mbegu kwa jinsi yake, na mti uzaao matunda, ambao mbegu zake zimo ndani yake, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. 13 Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tatu”
Sasa ukienda mbele mlango wa pili ndio inaelezea kwa kina jinsi ni gani miche ilitokea…Mwanzo 2:4 “….Siku ile Bwana Mungu alipoziumba mbingu na nchi 5 hapakuwa na mche wa kondeni bado, wala mboga ya kondeni haijachipuka bado, kwa maana Bwana Mungu hajainyeshea nchi mvua, wala hapana mtu wa kuilima ardhi; 6 ukungu ukapanda katika nchi, ukatia maji juu ya uso wote wa ardhi”.
Kwahiyo unaweza kuona hapo..Sura ya pili inaelezea kwa undani mambo yaliyokuwa yanaendelea katika sura ya kwanza ambayo katika sura ya kwanza yameelezewa kwa ufupi tu…Na hata Hata Adamu na Hawa katika sura ya kwanza wameelezewa tu wameumbwa lakini haijaelezwa wameumbwaje umbwaje,..ambapo ukienda katika sura ya Pili ndio inaelezea kwa urefu zaidi kwamba waliumbwa kutoka katika mavumbi ya nchi…
Vivyo hivyo sura ya 4 inaelezea kwa undani sura ya 3.
12 comments so far
EdnaPosted on12:03 um - Februari 24, 2020
Nahitaji Kujua kama Mungu aliumba Adam wawili Mwanzo1:27 Vs Mwanzo 2:7
AdminPosted on11:54 um - Februari 24, 2020
Shalom..Mungu alimwumba Adamu mmoja tu hakukuwa na mwingine…Kumbuka biblia sehemu nyingi haijaandikwa katika mtiririko wa matukio yanayofuatana kwamba likitoka hili linafuata lingine..hapana bali sehemu nyingine ina tabia ya kwenda mbele na kurudi nyuma..
Kwamfano Kitabu cha Mwanzo sura ya Pili kinaelezea kwa undani jambo lililotokea Mwanza sura ya kwanza…ukisoma mwanzo sura ya kwanza utaona vitu vimeandikwa kwa ufupi tu, kwa mfano ukisoma mwanzo 1:11-12, utaona biblia inasema “11 Mungu akasema, Nchi na itoe majani, mche utoao mbegu, na mti wa matunda uzaao matunda kwa jinsi yake, ambao mbegu zake zimo ndani yake, juu ya nchi; ikawa hivyo. 12 Nchi ikatoa majani, mche utoao mbegu kwa jinsi yake, na mti uzaao matunda, ambao mbegu zake zimo ndani yake, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. 13 Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tatu”
Sasa ukienda mbele mlango wa pili ndio inaelezea kwa kina jinsi ni gani miche ilitokea…Mwanzo 2:4 “….Siku ile Bwana Mungu alipoziumba mbingu na nchi 5 hapakuwa na mche wa kondeni bado, wala mboga ya kondeni haijachipuka bado, kwa maana Bwana Mungu hajainyeshea nchi mvua, wala hapana mtu wa kuilima ardhi; 6 ukungu ukapanda katika nchi, ukatia maji juu ya uso wote wa ardhi”.
Kwahiyo unaweza kuona hapo..Sura ya pili inaelezea kwa undani mambo yaliyokuwa yanaendelea katika sura ya kwanza ambayo katika sura ya kwanza yameelezewa kwa ufupi tu…Na hata Hata Adamu na Hawa katika sura ya kwanza wameelezewa tu wameumbwa lakini haijaelezwa wameumbwaje umbwaje,..ambapo ukienda katika sura ya Pili ndio inaelezea kwa urefu zaidi kwamba waliumbwa kutoka katika mavumbi ya nchi…
Vivyo hivyo sura ya 4 inaelezea kwa undani sura ya 3.
Ubarikiwe.
DaudPosted on7:50 um - Oktoba 10, 2020
Hv krimas na pasaka ni shelehe
AdminPosted on9:51 um - Oktoba 10, 2020
Pasaka Ni Siku iliyo kuu ya wayahudi (Sikukuu)
Daud maulidPosted on7:55 um - Oktoba 13, 2020
Krimas je.
AsiyejulikanaPosted on11:40 mu - Novemba 10, 2020
Kwa nini pilato na herode awakupana?
AdminPosted on1:13 mu - Novemba 11, 2020
Walipatana.. fungua hapa >> HERODE NA PILATO, MAADUI WAWILI WAPATANA.
ericPosted on10:20 um - Novemba 13, 2020
Leave your message
Berius kamina masumbukoPosted on10:02 um - Desemba 18, 2020
Nan alianzisha krismas au krismas alianzisha na ilianzishwa mwaka gani?
AdminPosted on9:43 mu - Desemba 20, 2020
Fungua hii link ndugu
https://wingulamashahidi.org/2019/12/03/krisimasi-christmas-ni-nini-je-ipo-katika-biblia/
LenardPosted on3:29 um - Januari 7, 2021
Nguruwe ni harali kuliwa
AdminPosted on11:29 um - Januari 10, 2021
Ndio