Utangulizi:
Tusomapo, habari za mashujaa hawa wa Imani, lengo lake ni kututia hamasa ya kutua mizigo yote ya dhambi inayotusonga , na kupiga mwendo kwa saburi katika safari yetu ya wokovu tuliyo nayo hapa duniani kama vile biblia inavyotuambia katika Waebrania 12:1. Tukijua kuwa lipo wingu kubwa la Mashahidi linalotuzunguka sikuzote.
Karibu katika maelezo mafupi ya watu hawa. Ili kusoma bofya Jina husika kuingia.
ndugu zangu, nabarikiwa sana na huduma yenu. Kazi yenu si bure. Mmeponya wengi kwa kazi hii. Bwana Yesu azidi sana kuwatia nguvu na kujifunua sana kwenu kupitia neno lake ili kuponya mamilioni ya watu. Asanteni sana.
About the author