by Admin | 23 Disemba 2019 08:46 um12
Utangulizi:
Tusomapo, habari za mashujaa hawa wa Imani, lengo lake ni kututia hamasa ya kutua mizigo yote ya dhambi inayotusonga , na kupiga mwendo kwa saburi katika safari yetu ya wokovu tuliyo nayo hapa dunianiĀ kama vile biblia inavyotuambia katika Waebrania 12:1. Tukijua kuwa lipo wingu kubwa la Mashahidi linalotuzunguka sikuzote.
Karibu katika maelezo mafupi ya watu hawa. Ili kusoma bofya Jina husika kuingia.
Source URL: https://wingulamashahidi.org/2019/12/23/wingu-kubwa-la-mashahidi-2/
Copyright ©2022 WINGU LA MASHAHIDI WA KRISTO unless otherwise noted.