CHANGIA SASA.

CHANGIA SASA.

KAMA UMEGUSWA KUCHANGIA KAZI HII YA  INJILI ILI IZIDI KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI, BWANA AKUBARIKI SANA KWA MOYO HUO.

HIVYO KAMA UMEGUSWA UNAWEZA UKATUMA MCHANGO WAKO KWA KUPITIA NAMBA ZIFUATAZO.

  • AIRTEL MONEY+255 789001312 – JINA: DEVIS MAGEMBE.
  • M PESA +255 767992434-         JINA: DENIS JULIUS.
  • AU KWA BANK ACCOUNT:

                                     A/C NO: 42710024012-NMB

                                          JINA: DENIS JULIUS MAGEMBE   

Kumbuka pia kuandika jina lako na mahali unapotokea, pindi utakapotuma nasi tunakuombea Bwana akubariki kwa baraka zote za rohoni.

NA PIA  MAOMBI YAKO NI YA UMUHIMU SANA KWETU, UNAWEZA UKAITAJA KAZI HII MBELE ZA BWANA KILA UOMBAPO KWAMBA BWANA AIONGEZEE NEEMA YAKE IENDELEE KUWEPO.

NA MWISHO KAMA UNA SWALI LOLOTE KUHUSU MAANDIKO, TUNAKUKARIBISHA UTUTUMIE KUPITIA NAMBA HIZO HAPO JUU! AU BARUA PEPE HAPA CHINI, AU KATIKA BOKSI LA MAONI HAPO CHINI, TUTAKUJIBU KWA WAKATI KWA KADIRI BWANA ATAKAVYOTUPA NEEMA,

baruapepe(email) >> Info@wingulamashahidi.org

Shalom!

Print this post

About the author

Admin administrator

9 comments so far

baraka sammo,lindiPosted on10:32 um - Mechi 27, 2020

mbona kumekuwa kimya,masomo mapya hatuyapati?

AsiyejulikanaPosted on9:24 mu - Oktoba 27, 2020

Barikiweni na bwana

Arsen kaizaPosted on3:59 um - Desemba 7, 2020

Mbarikiwe Sana nitachangia ili injiri ya BWANA izidi kufika kote duniani na kufanya watu waokoke au wabadilike na kuishi maisha yakumpendeza MUNGU Kama Mimi nilivo badilishwa. Amina

Dynes DanielPosted on10:48 um - Agosti 16, 2021

Sijaelewa kuhusu SDA kwani imetoka wapi

AsiyejulikanaPosted on5:32 um - Oktoba 1, 2021

Amen Mungu na akubariki

Leave a Reply