Description
“Ndugu yetu mpendwa, Mungu ametuita kuwa sehemu ya kazi yake takatifu duniani – ya kueneza Injili na kuwafikia waliopotea kwa upendo wake.
“Kila mchango, mdogo au mkubwa, una nafasi ya kubadilisha maisha ya watu milele”.
Leo tunakualika kwa moyo wa unyenyekevu kushiriki kwa sadaka yako, ili pamoja tuweze kufanikisha kazi hii njema.
Baraka zako zitazidi unapoweka hazina yako mahali ambapo kutakuwa na matunda ya kiroho yasiyo na mwisho (Mathayo 6:20). Tafadhali jiunge nasi katika huduma hii ya wokovu. Mungu akubariki sana.