KAZI ZA ROHO MTAKATIFU

KAZI ZA ROHO MTAKATIFU

$ 12

Roho Mtakatifu ni zawadi ya bure kwa kila mwamini, Kila mtu aliyemwamini Yesu na kutubu ni haki yake kujazwa Roho Mtakatifu kila wakati (Matendo 2:39), lakini bahati mbaya ni kwamba shetani kawapofusha wengi wasijue kanuni ya upatikanaji wa zawadi hii nzuri. Roho Mtakatifu ni Muhuri wa Mungu (Waefeso 4:30) na ndio utambulisho wa uwepo wa Mungu pamoja na mtu (Warumi 8:9)

SKU: mj2nrv Category:

Description

Kupitia kitabu hiki utapata kujua.
1. Roho Mtakatifu ni nani?
2. Uthibitisho wa Roho Mtakatifu ndani ya mtu ni upi?
3. Utajuaje kama umepokea Kweli Roho Mtakatifu?
4. Je Roho Mtakatifu anaweza kuondoka ndani ya mtu?
5. Kanuni ya kumpokea Roho Mtakatifu

Additional information

Weight 0.249 kg

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “KAZI ZA ROHO MTAKATIFU”

Your email address will not be published. Required fields are marked *