Je! dhambi zote ni sawa Kuna dhambi kubwa na ndogo?

  SWALI: Naomba kufahamu Je! Kuna dhambi kubwa na ndogo, na kama hakuna je! Mtu aliyeua na aliyetukana je watapata adhabu sawa? JIBU: Dhambi ni dhambi iwe kubwa au ndogo, zote ni kosa, biblia inasema. Yakobo 2:10 “Maana mtu awaye yote atakayeishika sheria yote, ila akajikwaa katika neno moja, amekosa juu ya yote. 11 Kwa … Continue reading Je! dhambi zote ni sawa Kuna dhambi kubwa na ndogo?