Nilipokuwa mtoto mchanga, nalisema kama mtoto mchanga
Licha ya kuwa na INJILI YA MSALABA,ambayo ndio kiini cha kila mwanadamu ipo injili nyingine pia ijulikanayo kama INJILI YA MILELE, hii ni tofauti na injili ya msalaba. Injili ya msalaba yenyewe inatangaza wokovu kwa mwanadamu tu, kwa kupitia mmoja naye ni YESU KRISTO BWANA wetu. Kwahiyo injili nyingine yeyote inayodai kumkomboa mwanadamu na haimweki … Continue reading Nilipokuwa mtoto mchanga, nalisema kama mtoto mchanga
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed