ESTA: Mlango wa 1 & 2

MFALME wa WAFALME YESU KRISTO Bwana wetu, atukuzwe daima Karibu kwa neema za Mungu tujifunze kitabu cha Esta leo tukianza na ile sura ya 1 na ya 2.Ni vizuri ukiwa na biblia yako pembeni uipitie habari hii kwanza ndipo tuende pamoja. Kama tunavyofahamu Agano la Kale ni kivuli cha Agano jipya hivyo kila habari inayozungumzwa … Continue reading ESTA: Mlango wa 1 & 2