ESTA: Mlango wa 5, 6 & 7

Jina la mwokozi wetu YESU KRISTO litukuzwe. Huu ni mwendelezo wa kitabu cha Esta. Katika sura hizi tatu (5,6 na 7), tunaona Malkia Esta akienda kujihudhurisha mbele ya mfalme kinyume cha taratibu ili awaombee watu wake dhidi ya adui wao Hamani aliyekusudia kuwaangamiza wayahudi wote waliokuwa dunia nzima. Lakini tunasoma badala ya Esta kuuliwa kinyume … Continue reading ESTA: Mlango wa 5, 6 & 7