Jina la BWANA wetu na mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe milele daima. Karibu katika kujifunza maneno ya Mungu, leo tukiwa katika mwendelezo wa kitabu cha Yuda tunapomalizia sehemu ile ya mwisho. Tunasoma. Yuda 1: 14 “Na Henoko, mtu wa saba baada ya Adamu, alitoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema, Angalia, Bwana alikuja na watakatifu … Continue reading KITABU CHA YUDA: SEHEMU YA 3
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed