CHAGUA NI JIWE LIPI LITAKALO KUFAA KWA UJENZI.

Katika ujenzi wa zamani majengo yote ili yasimame IMARA yalikuwa ni lazima lipatikane jiwe kubwa moja la mraba, na kuwekwa katika kona ya kuta mbili mahali zinapokutana, ili ujenzi uendelee katika mtiririko ulio sahihi, hivyo pasipo hilo jiwe kuwepo haiwezekani jengo kusimamishwa kwasababu ili matofali mengine yatakayokuja juu yake yaweze kusimama na kunyooka yalilitegemea sana hilo … Continue reading CHAGUA NI JIWE LIPI LITAKALO KUFAA KWA UJENZI.