Jina la BWANA wetu YESU KRISTO lihimidiwe. Katika sura zilizotangulia (yaani ya 1-6), tuliona zikielezea sana sana historia za maisha ya watakatifu waliyopitia zaidi kuliko unabii lakini kuanzia Mlango huu wa 7 na kuendelea tunaona Danieli akionyeshwa maono ya mambo yatakayokuja kutokea katika siku za mwisho. Tukisoma.. Danieli 7:1-8″ Katika mwaka wa kwanza wa Belshaza, … Continue reading DANIELI: Mlango wa 7
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed