UFALME WA MUNGU HAUPATIKANI KIRAHISI.

Bwana Yesu aliposema “UTAFUTENI kwanza ufalme wake na haki yake..”. Alikuwa na maana kubwa zaidi kuliko inavyodhaniwa,.kitu kama ni cha kutafuta inamaana kuwa kimesitirika na kinahitaji nguvu ya ziada kukipata. Kumbuka tunapompa Bwana maisha yetu leo haimaanishi kuwa tumeupata ufalme wa Mungu, hapana bali tumepiga hatua ya kwanza katika kuutafuta ufalme wake. Ni sawa na … Continue reading UFALME WA MUNGU HAUPATIKANI KIRAHISI.