UTHABITI WA AGANO LA MUNGU KWA MKRISTO.

Wakati ule baada ya watu kumuudhi sana Mungu hata kufikia hatua ya BWANA kuleta GHARIKA juu ya dunia nzima, Na kama tunavyoijua habari ni Nuhu tu na familia yake ndio waliopona, lakini baada ya hapo BWANA akaweka UPINDE kama ishara ya agano aliloingia na Nuhu pamoja na uzao wake kwamba hataiteketeza tena dunia kwa maji..Tunasoma; Mwanzo 9: 8 “Mungu akamwambia Nuhu, na wanawe … Continue reading UTHABITI WA AGANO LA MUNGU KWA MKRISTO.