ALIYE MKUU KATIKA UFALME WA MBINGUNI.

Kuna tofauti kati ya MAMLAKA(CHEO) na¬†UTAJIRI. Unaweza ukawa tajiri lakini usiwe na mamlaka au cheo na pia unaweza ukawa na CHEO na usiwe tajiri au unaweza ukawa na vyote viwili kwa pamoja. Kwamfano viongozi wenye vyeo kama wakuu wa mikoa, madiwani, mawaziri na mameya, wana nguvu na usemi juu ya watu wote pamoja na matajiri … Continue reading ALIYE MKUU KATIKA UFALME WA MBINGUNI.