KWANINI YESU KRISTO ALIKUJA DUNIANI?

Tukisoma kitabu cha mwanzo 1, Biblia inasema Hapo mwanzo, Mungu aliziumba mbingu na nchi. Lakini tunaona hakueleza aliumbaje umbaje hii mbingu na nchi yaani, miti, jua, mwezi, milima, wanyama, mwanadamu n.k. Lakini tukija kusoma kwenye kitabu cha waebrania 11:3 tunaona ” Kwa imani twafahamu ya kuwa ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, hata vitu vinavyoonekana … Continue reading KWANINI YESU KRISTO ALIKUJA DUNIANI?