MAAGIZO YA BWANA YESU NI BORA KULIKO MAAGIZO YA DAKTARI:

Ukiwa mgonjwa, labda unaumwa TB, ukapewa dozi na Daktari ukaambiwa utumie hizo kwa muda wa miezi 6 bila kuruka siku hata moja!! Je! Utaacha baada ya mwezi mmoja kwasababu masharti ni magumu au kwasababu umepata unafuu??. Ni dhahiri kuwa hutaacha kwasababu unajua madhara yake, kwamba ukiacha hata kama unajihisi kama umepona, yatakuwa ni makubwa zaidi na … Continue reading MAAGIZO YA BWANA YESU NI BORA KULIKO MAAGIZO YA DAKTARI: