MAJARIBU MATATU YA YESU KRISTO
Majaribu matatu Yesu aliyojaribiwa na shetani akiwa njikani siku 40, yanaweza yakachukuliwa kivyepesi lakini ukiyachunguza kwa undani yana tafsiri kubwa sana na maana kubwa sana katika maisha ya kila mkristo akiwapo hapa duniani, na yanahitaji uongozo wa Roho Mtakatifu kuyaelewa yale majaribu yana maana gani kama yalivyoandikwa pale. Wengi wetu tunafikiri kuwa Yesu alipandishwa nyikani … Continue reading MAJARIBU MATATU YA YESU KRISTO
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed