MEZA YA BWANA, NA KUTAWADHANA MIGUU.

Moja ya maagizo muhimu ambayo Bwana wetu Yesu Kristo aliyatoa kwa wanafunzi wake na kwa kanisa kwa ujumla ni kitendo cha kushiriki meza ya Bwana, pamoja na wakristo kutawadhana miguu na mengineyo yakiwemo ubatizo , na wanawake kufunika vichwa vyao wakiwemo ibadani. lakini leo tujifunze¬† hayo mawili ya kwanza. MEZA YA BWANA: Mathayo 26:26-28″ Nao … Continue reading MEZA YA BWANA, NA KUTAWADHANA MIGUU.