MOTO HUFA KWA KUKOSA KUNI.HATA UASHERATI NAO

“Moto hufa kwa kukosa kuni’’.na ndivyo ilivyo kwa uasherati Mungu kamuumba kila mwanadamu na maamuzi yake binafsi yasiyoweza kuingiliwa na kitu kingine chochote, Mungu kayaheshimu maamuzi hayo kiasi kwamba hata yeye mwenyewe hajajipa mamlaka ya kuyaingilia japokuwa anao uwezo huo, si zaidi shetani? hawezi kumwamulia mtu mambo!!. Ukiamua kuwa mlevi hakuna kitu chochote kitakachoweza kukuzuia, … Continue reading MOTO HUFA KWA KUKOSA KUNI.HATA UASHERATI NAO