MPAKA UTIMILIFU WA MATAIFA UTAKAPOWASILI.

Hii neema tuliyonayo watu wa mataifa, haikuanzia kwetu, bali ilitoka kwa wengine lakini kwa huruma za Mungu walipokonywa wao tukapewa sisi. Israeli kama Taifa teule la Mungu walikuwa wameshafikia kilele cha kula matunda ya taabu yao kwa kuja kwake mkombozi ambaye ni Mesiya wao waliyemngojea kwa miaka mingi, ambaye angewaokoa na dhambi zao na maadui … Continue reading MPAKA UTIMILIFU WA MATAIFA UTAKAPOWASILI.