SAUTI AU NGURUMO?

Yohana 12:28-30 “28 Baba, ulitukuze jina lako. Basi ikaja SAUTI kutoka mbinguni, Nimelitukuza, nami nitalitukuza tena. 29 Basi mkutano uliosimama karibu wakasikia, walisema ya kwamba KUMEKUWA NGURUMO; wengine walisema, Malaika amesema naye. 30 Yesu akajibu, akasema, Sauti hiyo haikuwako kwa ajili yangu, BALI KWA AJILI YENU.” Katika habari hii tunasoma kuwa kuna SAUTI ilitoka mbinguni ambayo ilikuwa … Continue reading SAUTI AU NGURUMO?