UMEIZALIA MATUNDA MIAKA 4 YA NEEMA ULIYOPEWA?

Biblia inatufananisha sisi na kama miti izaayo matunda, hivyo kila mmoja wetu anapaswa azae matunda kwa Mungu, kadhalika biblia imetuonya pia mti usiozaa matunda utakatwa, kama tunavyosoma mfano Bwana wetu alioutoa katika  Luka 13:6 “Akanena mfano huu; Mtu mmoja alikuwa na mtini umepandwa katika shamba lake la mizabibu; akaenda akitafuta matunda juu yake, asipate. 7 Akamwambia … Continue reading UMEIZALIA MATUNDA MIAKA 4 YA NEEMA ULIYOPEWA?