UZAO WA NYOKA.

Kizazi au Uzao wa Nyoka ni upi kwa mujibu wa maandiko? Leo tutauzunguzia ule uzao wa nyoka… Ni vizuri tuanze kujifunza kula vyakula vigumu pia ili tukue tuzidi kumjua Kristo katika utimilifu wake wote,  Leo tuutazame uzao wa nyoka mwanzo wake na ulipofikia sasa.. Mathayo 12:34 “Enyi wazao wa nyoka, mwawezaje kunena mema, mkiwa wabaya? … Continue reading UZAO WA NYOKA.