TUMEFANYIKA KUWA WANA WA MUNGU!

1Yohana 3:1 “Tazameni, ni pendo la namna gani alilotupa Baba, kwamba tuitwe wana wa Mungu; na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa haukumtambua yeye” Katika maisha ya kila mmoja wetu, kuna ushuhuda ambao Mungu ameuandika.Bwana ameruhusu kila mtu apitie hatua mbili kuu muhimu maishani mwake nazo ni¬†KUWA MTOTO, NA KUWA MZAZI ( … Continue reading TUMEFANYIKA KUWA WANA WA MUNGU!