Wito wa Mungu kwa mtu unakuja kwa namna tofauti tofauti kulingana na kusudi la Mungu juu ya maisha yake, na kazi mtu atakayokuja kuifanya baadaye katika kazi ya huduma. Huduma ya mtu inategemea na jinsi mtu alivyoitwa. UTUMWA/UHURU 1wakorintho 7:20-24″ Kila mtu na akae katika hali ile ile ambayo alikuwa nayo alipoitwa. 21 Je! Uliitwa … Continue reading WITO WA MUNGU
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed