AGENDA KUBWA YA SHETANI KWA KANISA HILI LA LAODIKIA.

Shetani tangu zamani amekua akibuni njia mbali mbali za kumfanya mwanadamu aangumie kwa anguko litakalomfanya asiweze tena kurudi nyuma, Na amekua akifanya hivyo kwa kuchunguza ni njia ipi inayomchukiza Mungu zaidi kuliko nyingine, na akishaipata anakwenda kuwashawishi wanadamu waitende hiyo ili Mungu asiwe na huruma kwao, waangamizwe moja kwa moja. Kwa mfano tukisoma katika agano … Continue reading AGENDA KUBWA YA SHETANI KWA KANISA HILI LA LAODIKIA.