ILI TUONEKANE WAKAMILIFU MBELE ZA MUNGU.

Kama unamchukulia mtu ni adui yako kwasababu amekusengenya, au amekudharau, au amekutukana, au amekuibia, au amekurusha, au amekuaibisha, au amekata mazungumzo na wewe ghafla, au amejisifia mbele zako na kukuona kama wewe si kitu kwasababu yeye pengine anaye mtoto na wewe huna. Hivyo umekuwa ukitamani Mungu amlipize kisasi, aanguke, au ashushwe au ikiwezekana afe kabisa, … Continue reading ILI TUONEKANE WAKAMILIFU MBELE ZA MUNGU.