Mwinjilisti mmoja maarufu wa Marekani aliyeitwa Danny Martin, katika jitihada zake nyingi za kumtumikia Mungu siku moja usiku alijiona kwenye ndoto kwamba amekufa,na huko upande wa pili alijikuta yupo safarini kuelekea mbinguni, kwa mbali aliyaona malango makubwa sana, lakini alipokaribia mahali pale alisikia mtu mmoja akimwambia “Ni nani huyu anakaribia hapa?” Kwa ujasiri akajibu ni … Continue reading MTETEZI WAKO NI NANI?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed