TAFUTA KUJUA MAMBO YAJAYO

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo, aliye Mfalme wa wafalme, na mkuu wa uzima, libarikiwe! Karibu tujifunze Neno la Mungu, leo tutajifunza umuhimu wa kutaka kutafuta kujua mambo yajayo, Kwasababu biblia inasema katika.. Mathayo 7: 7 “Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa; 8 KWA MAANA KILA AOMBAYE HUPOKEA; naye atafutaye huona; naye … Continue reading TAFUTA KUJUA MAMBO YAJAYO