Katika kitabu cha mwanzo tunasoma, baada ya Bwana Mungu kuumba mbingu na nchi na viumbe vyote alistarehe siku ya saba, biblia inasema hivyo katika.. Mwanzo 2: 1 “Basi mbingu na nchi zikamalizika, na jeshi lake lote. 2 Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake … Continue reading NGUVU YA MUNGU YA UUMBAJI
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed