KITENDAWILI CHA SAMSONI

Waamuzi 14: 13”……… Basi wakamwambia, Haya, tega kitendawili chako, ili tupate kukisikia. 14 Naye akawaambia, KATIKA HUYO MWENYE KULA KIKATOKA CHAKULA, KATIKA HUYO MWENYE NGUVU UKATOKA UTAMU Kitendawili hichi Samsoni alisukumwa kukisema baada ya kukutana na tukio la ajabu katika safari yake alipokuwa akishuka kwenda Ufilisti yeye pamoja na wazazi wake kwa ajili ya kumchumbia … Continue reading KITENDAWILI CHA SAMSONI